Na Mwandishi Wetu, Arusha VIONGOZI mahasimu wa kisiasa mjini Arusha kutoka vyama vya CCM na CHADEMA juzi wamejikuta wakipeana mikono na kupatanishwa kanisani na Waziri…
Continue Reading....Author: jomushi
Robo fainali Kombe la CECAFA Tusker Challenge leo
MICHUANO ya Robo fainali Kombe la CECAFA Tusker Chalenji inaanza leo Desemba 5,2011 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa…
Continue Reading....Mameneja wa TANROADS mikoa wabadilishwa
Na Mwandishi Wetu MTENDAJI Mkuu wa Mamlaka ya Barabara za Taifa (TANROADS), Injinia Patrick Mfugale amefanya mabadiliko makubwa kwenye safu ya uongozi ya TANROADS katika…
Continue Reading....Benki ya Twiga kutumia miundombinu ya Benki ya Posta kutoa huduma
KATIKA jitihada za kuboresha huduma za kibenki na kusogeza huduma zaidi kwa wateja, Benki ya Twiga Bancorp Limited inaanzisha ushirikiano na Benki ya Posta Tanzania…
Continue Reading....Benki ya Posta yajivunia mafanikio miaka 50 ya Uhuru
Na Joachim Mushi BENKI ya Posta Tanzania (TPB) mwakani imejipanga kuhakikisha inaweka utaratibu mzuri utakaowawezesha wananchi vijijini hasa wakulima kuweza kutumia huduma za kibenki maeneo…
Continue Reading....Ivory Coast yakaribia kufanya uchaguzi
JUMUIA ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, inasema kuwa itatuma ujumbe wa wachunguzi 60 kusimamia uchaguzi wa bunge nchini Ivory Coast Desemba 11, 2011 kufuatia…
Continue Reading....