Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,032

Author: jomushi

TFF yawataja 37 watakao shiriki semina ya Grassroots

Posted on: December 13, 2011December 13, 2011 - jomushi
TFF yawataja 37 watakao shiriki semina ya Grassroots

Na Mwandishi Wetu WASHIRIKI 37 wameteuliwa kushiriki katika semina ya grassroots inayolenga wachezaji mpira wa miguu (wasichana na wavulana) wenye umri kuanzia miaka 6-12 kutoka…

Continue Reading....

Mechi za Tusker Chalenji zaingiza mil 267

Posted on: December 13, 2011December 13, 2011 - jomushi
Mechi za Tusker Chalenji zaingiza mil 267

Na Mwandishi wetu MECHI 26 za michuano ya 35 ya CECAFA Tusker Challenge Cup iliyofanyika Dar es Salaam kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 mwaka…

Continue Reading....

Hatimaye Man City yafungwa Chelsea

Posted on: December 13, 2011 - jomushi
Hatimaye Man City yafungwa Chelsea

PENATI ya Frank Lampard ndiyo iliyowapa ushindi Chelsea na hii ilikuwa mechi ya kwanza ambayo viongozi wa ligi, Manchester City wamepoteza msimu huu. Lampard –…

Continue Reading....

Spika Makinda akacha mjadala wa posho

Posted on: December 13, 2011 - jomushi
Spika Makinda akacha mjadala wa posho

*Alialikwa na Channel Ten, Awaambia kama ni kuhusu posho ‘siji’, Wengi waponda, CAG kufanya uchunguzi SAKATA la posho za wabunge limezidi kuingia katika sura mpya,…

Continue Reading....

Rais Kabila akanusha kuiba kura DRC

Posted on: December 12, 2011 - jomushi
Rais Kabila akanusha kuiba kura DRC

RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila amekanusha vikali madai ya kwamba alishinda uchaguzi wa nchi hiyo kupitia wizi wa kura. Waangalizi kutoka…

Continue Reading....

Pinda ataka wakuu wa mikoa, wilaya kujipanga uboreshaji kilimo

Posted on: December 12, 2011December 12, 2011 - jomushi
Pinda ataka wakuu wa mikoa, wilaya kujipanga uboreshaji kilimo

Na Joachim Mushi WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha wanasimamina vizuri suala la kilimo ili kuleta mapinduzi kama…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari