Na Mwandishi Maalumu, Kilimanjaro WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Mkoa wa Kilimanjaro unaweza kuwa kitovu cha maendeleo katika kanda ya Kaskazini kama ukijipanga…
Continue Reading....Author: jomushi
Rais Kikwete akiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR)
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Desemba 15, 2011 ameungana na viongozi wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Nchi za Maziwa…
Continue Reading....Rais Kikwete aenda Uganda kuhudhuria mkutano wa ICGLR
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameondoka nchini leo, Desemba 15, 2011, kwenda Kampala, Uganda ambako ataungana na viongozi…
Continue Reading....Kambi ya Ngumi Ilala kumuandaa bondia Ubwa Salum
KAMBI ya Mchezo wa Ngumi ya Mkoa wa Kimichezo wa Ilala, Dar es Salaam, inamuandaa bondia Ubwa Salum kwa ajili ya pambano lake dhidi ya…
Continue Reading....Wanajeshi wa Marekani waondoka Iraq
RAIS wa Marekani Barack Obama maeadhimisha kumalizika kwa vita vya Iraq kwa kupongeza “mafanikio yasiyo ya kawaida” kwa vikosi vya Marekani katika mapigano ambayo yalipingwa…
Continue Reading....Marekani yasema uchaguzi DRC ulikuwa na dosari
MAREKANI imesema uchaguzi uliofanyika hivi karibuni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ulikuwa na dosari nyingi, hivyo kutaka mchakato wa tathmini urejewe upya. Matokeo rasmi…
Continue Reading....