Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,020

Author: jomushi

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini alipofanya ziara kujionea uharibifu wa miundombinu ya umeme dhidi mafuriko

Posted on: December 25, 2011December 25, 2011 - jomushi
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini alipofanya ziara kujionea uharibifu wa miundombinu ya umeme dhidi mafuriko

Msikiti wa Mbagala Kingugi ni moja ya nyumba tano zilizoharibiwa kabisa na mafuriko hayo. Aidha nyumba nyingine 15 zimebomolewa kiasi.

Continue Reading....

Leo ni leo, nani mbabe kati ya Maneno Osward na Rashid Matumla

Posted on: December 25, 2011 - jomushi
Leo ni leo, nani mbabe kati ya Maneno Osward na Rashid Matumla

Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios ‘Mwayamwaya'(katikati), akiwashuudia mabondia, Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ kushoto na Rashidi Matumla ‘Snake Man’, wakitunishiana misuli…

Continue Reading....

Shivji amkosoa Kikwete kuhusu katiba

Posted on: December 25, 2011 - jomushi
Shivji amkosoa Kikwete kuhusu katiba

MWENYEKITI wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere Profesa Issa Shivji amekosoa Sheria ya Mchakato wa Kuundwa kwa Katiba mpya iliyosainiwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni…

Continue Reading....

Yanga Tabata kukutana Boxing Day

Posted on: December 25, 2011 - jomushi
Yanga Tabata kukutana Boxing Day

Na Mwandishi Wetu WANACHAMA wa klabu ya Yanga tawi la Tabata wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika mkutano wa mwaka utakaofanyika kesho, Jumatatu (26 Desemba, 2011)…

Continue Reading....

Salamu za Krismas na Mwaka Mpya

Posted on: December 25, 2011 - jomushi
Salamu za Krismas na Mwaka Mpya

UONGOZI na wafanyakazi wa Gazeti Tando la dev.kisakuzi.com unapenda kuwatakia heri ya Siku Kuu za Chrismas na Mwaka Mpya 2012 wasomaji, wachangiaji na wote wenye…

Continue Reading....

YAYA TOURE mchezaji bora CAF

Posted on: December 24, 2011December 24, 2011 - jomushi
YAYA TOURE  mchezaji bora CAF

Mcheza kiungo wa klabu ya Manchester City na Timu ya Taifa ya Ivory Coast,Yaya Toure amechaguliwa kua mchezaji bora wa soka na Shirikisho la soka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari