NDUGU zetu waliopatwa na janga la mafuriko bado wanahitaji misaada yetu Watanzania tafdhal endelea kuchangia kwa Kupitia nambari ya Red Alert 15599 mteja anaweza kuchangia…
Continue Reading....Author: jomushi
Wakazi Kota za Bandari Kariakoo wagoma kuvunjiwa
WAKAZI wa Kariakoo Kota za Bandari Kata ya Gerezani wameitaka serikali kutowahamisha wala kuwavunjia nyumba zao hadi hapo kesi yao iliyopo mahakama kuu kitengo cha…
Continue Reading....Kombora mbio za urais 2015
*Mch. Lusekelo asema kuwaza sasa ni utoto wa moyo, *Sitta asema urais unakuja wenyewe MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo amesema mbio za urais…
Continue Reading....Maaskofu waonya posho mpya, ufisadi
*Wasema tusipokuwa makini tunauza uhuru wetu MAASKOFU nchini jana walitumia ibaada ya Krismasi, kuzungumzia mambo kadhaa ya kitaifa yakiwamo nyongeza ya posho za wabunge na…
Continue Reading....Mpambano wa Matumla Osward hakuna mbabe
MPAMBANO kati ya mabondia Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ umemalizika jana jijini Dar es Salaam huku mabondia hao wakitoshana nguvu.…
Continue Reading....