Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 197

Author: jomushi

Taasisi Zatakiwa Kuanzisha Mfumo wa Kupimana

Posted on: August 1, 2016 - jomushi
Taasisi Zatakiwa Kuanzisha Mfumo wa Kupimana

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amezitaka taasisi zilizo chini ya Wizara yake kuanzisha mfumo maalumu wa makubaliano utakaotumika kupima utendaji kazi…

Continue Reading....

Mkutano wa Lowassa na Wanafunzi Muhimbili Wazuiliwa

Posted on: August 1, 2016 - jomushi
Post Tags: Edward Lowassa
Mkutano wa Lowassa na Wanafunzi Muhimbili Wazuiliwa

  Na Dotto Mwaibale   UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umezuia mkutano uliokuwa ufanywe na baadhi ya wanafunzi wa…

Continue Reading....

Mrema Aanza Kazi Azungumza na Bodaboda, Ampa Siku Saba Makonda

Posted on: August 1, 2016 - jomushi
Post Tags: Bodaboda Mjini
Mrema Aanza Kazi Azungumza na Bodaboda, Ampa Siku Saba Makonda

        MWENYEKITI wa Bodi ya Taifa ya Parole, Augustino Lyatonga Mrema leo amezungumza na waendesha pikipiki za abiria maarufu kama bodaboda pamoja na…

Continue Reading....

Godauni la Magurudumu Lawaka Moto Sinza Lego, Dar

Posted on: July 31, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
Godauni la Magurudumu Lawaka Moto Sinza Lego, Dar

Moto ukiwaka jioni hii kwenye godauni moja lililopo eneo la Sinza Lego, jijini Dar es Salaam. Mmoja wa kijana ambaye alifika kushuhudia tukio hilo akijaribu kupanda…

Continue Reading....

Lowasa, Waziri Nape Waongoza Wanahabari Kumuaga Joseph Senga Dar

Posted on: July 31, 2016July 31, 2016 - jomushi
Post Tags: mwanahabari
Lowasa, Waziri Nape Waongoza Wanahabari Kumuaga Joseph Senga Dar

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akitoa heshima za mwisho mbele ya Mwili wa aliyekuwa mpiga picha mkuu…

Continue Reading....

Mkurugenzi Ahamasisha Udhamini Mashindano ya Urembo Bila Ubaguzi

Posted on: July 31, 2016 - jomushi
Post Tags: Urembo Dar
Mkurugenzi Ahamasisha Udhamini Mashindano ya Urembo Bila Ubaguzi

      Na Benedict Liwenga-WHUSM. WADAU wanaojishughulisha na masuala ya Sanaa nchini wamehamishwa kujitokeza kwa wingi katika kusaidia maendeleo ya Sanaa kwa kudhamini na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari