BARAZA Kuu la Umoja wa Mataifa(UN) limeidhinisha kura ya azimio kuhusu Syria sawa na ile iliyopigiwa kura ya turufu na Urusi na Uchina katika baraza…
Continue Reading....Author: jomushi
Mawaziri wawili wajiuzulu nchini Uganda
MAWAZIRI wawili ambao waliamuliwa kuwajibika nakuisababbishia serikali hasara ya dola milioni 60, kutokana na malipo ya kufidia mfanya biashara baada ya kupoteza umilikaji wa soko…
Continue Reading....Serikali ilikurupuka ujezi wa Machinga Complex?
Na Mwandishi Wetu WAKATI mwingine mtu unaweza kuwa na wazo zuri la kimaendeleo lakini baada ya kulitekeleza na usimamizi wake kuwa mbaya laweza onekana kero…
Continue Reading....Rais Kikwete mgeni rasmi Mkutano Mkuu wa Holy Ghost Missionaries
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amealikwa kuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu (General Chapter) wa 20 wa Shirika la Ukasisi wa…
Continue Reading....CCM yakana kuwaengua wazee vikao vya chama
Na Joachim Mushi CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimekanusha taarifa zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa (NEC) cha juzi Dodoma kilichotoka…
Continue Reading....Wajumbe EAC wataka mipango ya rushwa iongezewe bajeti
Na James Gashumba, Arusha- EANA WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati ya Sekta ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (ECA)…
Continue Reading....