Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,931

Author: jomushi

Chama cha ANC Afrika Kusini chamtimua Malema

Posted on: March 2, 2012 - jomushi
Chama cha ANC Afrika Kusini chamtimua Malema

CHAMA tawala cha ANC nchini Afrika Kusini kimemtimua rasmi kiongozi wa Jumuiya ya vijana katika chama hicho, Julius Malema, baada ya rufaa ya kupinga uamuzi…

Continue Reading....

Hatimaye mtoto wa marehemu Sumari ashinda tena kura za maoni CCM Arumeru Mashariki

Posted on: March 1, 2012March 1, 2012 - jomushi
Hatimaye mtoto wa marehemu Sumari ashinda tena kura za maoni CCM Arumeru Mashariki

Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com, Arumeru MTOTO wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, marehemu Jeremiah Sumari (CCM), Sioi Sumari leo ameibuka tena mshindi katika…

Continue Reading....

Rais Kikwete atuma rambirambi vifo vya wanafunzi na George Mbowe

Posted on: March 1, 2012March 1, 2012 - jomushi
Rais Kikwete atuma rambirambi vifo vya wanafunzi na George Mbowe

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mageza S.…

Continue Reading....

Vijijini sasa kupata huduma ya madaktari bingwa

Posted on: March 1, 2012 - jomushi
Vijijini sasa kupata huduma ya madaktari bingwa

Na Magreth Kinabo – MAELEZO SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetoa magari saba ya huduma za mkoba kwa ajili ya wananchi…

Continue Reading....

Pambano la Stars, Mambas laingiza sh. mil 64

Posted on: March 1, 2012 - jomushi
Pambano la Stars, Mambas laingiza sh. mil 64

MECHI ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika- AFCON 2013 kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Msumbiji (Mambas) iliyochezwa…

Continue Reading....

Halfa ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa MKURABITA, Ladislaus Lema

Posted on: March 1, 2012 - jomushi
Halfa ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa MKURABITA, Ladislaus Lema

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari