Na Stella Kalinga Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amewataka viongozi wa kata na vijiji kuwabaini wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF…
Continue Reading....Author: jomushi
Barabara ya Mkiwa-Itigi Kujengwa kwa Kiwango cha Lami
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amekagua barabara ya Makongolosi-Rungwa-Itigi hadi Mkiwa yenye urefu wa jumla ya KM 412 na kuhaidi ujenzi…
Continue Reading....Mataruma ya Kongolo Tazara-Mbeya Kujenga Reli ya Kisasa.
Serikali imesema itatumia kiwanda cha Kongolo cha Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kilichopo Mbeya kuzalisha mataruma yatakayotumika kwenye ujenzi wa reli ya…
Continue Reading....Jafo: Watanzania Tunapaswa Kuthamini Bidhaa Zinazozalishwa Nchini
Na Mathias Canal, Dodoma Watanzania wametakiwa kuthamini na kununua bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania hususani katika sekta ya Kilimo, Ufugaji na uvuvi kwani hakuna sababu ya…
Continue Reading....Mkuu wa Wilaya Ikungi Afungua Mafunzo ya Mgambo
Na Mathias Canal, Singida WIKI 16, Miezi minne itatosha kuwakutanisha pamoja vijana wa kata mbalimbali Wilayani Ikungi kwa pamoja wakipatiwa mafunzo ya Mgambo…
Continue Reading....Diwani Chadema Atupwa Lupango kwa Kukiuka Maadhimio
Na Mathias Canal, Singida JESHI la Polisi Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida limemtia nguvuni Diwani wa Kata ya Iseke kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia…
Continue Reading....