TUNAWASHUKURU sana wana Arumeru Mashariki kwa kutuongezea nguvu ya kijana Joshua Nassari. Shukrani kwa wananchi, wana-Chadema, Serikali kwa kusimamia katika ukweli wa ushindi huu wa…
Continue Reading....Author: jomushi
Bigright awakomalia vijana mchezo wa ngumi
IBRAHIM Kamwe ‘bigright’ ambaye ni promota wa ngumi ameamua kuwafundisha vijana wadogo mchezo wa ngumi ili waje kuwa wachezaji wazuri wa mchezo huo hapo baadaye.…
Continue Reading....CHADEMA washinda ubunge Arumeru Mashariki
*CUF nao washinda Udiwani Tanga Na Mwandishi Wetu, Arumeru CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki…
Continue Reading....TAJOC chapata usajili wa kudumu
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Waandishi wa Habari za Watoto (TAJOC) kimesajiliwa rasmi juzi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Akizungumza baada ya…
Continue Reading....Rais Kikwete azungumza na Mkurugenzi Mtendaji AfDB
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Machi 31, 2012, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki…
Continue Reading....