Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,887

Author: jomushi

TFF yaipongeza Simba kushonga mbele kombe la CAF

Posted on: April 8, 2012 - jomushi
TFF yaipongeza Simba kushonga mbele kombe la CAF

Na Joachim Mushi SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatoa pongezi kwa uongozi, benchi la ufundi na wachezaji wa Simba kwa kufanikiwa kuingia raundi…

Continue Reading....

Rais Kikwete atuma rambirambi kifo cha Kanumba

Posted on: April 8, 2012 - jomushi
Rais Kikwete atuma rambirambi kifo cha Kanumba

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania –TAFF- kuomboleza…

Continue Reading....

Tume ya mabadiliko ya Katiba kuzinduliwa Aprili 13

Posted on: April 8, 2012 - jomushi
Tume ya mabadiliko ya Katiba kuzinduliwa Aprili 13

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete atazindua rasmi Tume ya Kukusanya na Kuratibu Maoni ya Mabadiliko ya Katiba…

Continue Reading....

Dk Shein aongoza hitma ya Abeid Aman Karume

Posted on: April 8, 2012 - jomushi
Dk Shein aongoza hitma ya Abeid Aman Karume

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza hitma ya kumuombea dua…

Continue Reading....

Rais Kikwete atuma rambirambi Malawi

Posted on: April 8, 2012 - jomushi
Rais Kikwete atuma rambirambi Malawi

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Banda kuomboleza…

Continue Reading....

The great Kanumba afariki dunia

Posted on: April 7, 2012 - jomushi
The great Kanumba afariki dunia

Na Mwandishi Wetu MSANII maarufu wa sanaa ya kuigiza nchini Tanzania, Steven Kanumba amefariki dunia. Taarifa zinasema Kanumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo alipokuwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari