Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,879

Author: jomushi

Benki ya Dunia yakiri EAC kurahisisha biashara

Posted on: April 15, 2012 - jomushi
Benki ya Dunia yakiri EAC kurahisisha biashara

Na James Gashumba, EANA-Arusha NCHI wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeboresha mazingira ya biashara kwa wajasilia mali katika mataifa yao kwa kutekeleza mabadiliko…

Continue Reading....

Rais Kikwete aelekea Brazil kikazi

Posted on: April 15, 2012 - jomushi
Rais Kikwete aelekea Brazil kikazi

Na Mwandishi Maalumu RAIS Jakaya Kikwete ameondoka jana Aprili 14, 2012, jioni kuelekea Brazil kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tano nchini humo.…

Continue Reading....

Prisons, Mlale JKT zagawana pointi

Posted on: April 15, 2012 - jomushi
Prisons, Mlale JKT zagawana pointi

Na Mwandishi Wetu, Morogoro TIMU za Tanzania Prisons ya Mbeya na Mlale JKT ya Ruvuma zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa fainali za…

Continue Reading....

Kupanda kwa bei tatizo kwa Wananchi-Dk Shein

Posted on: April 15, 2012April 15, 2012 - jomushi
Kupanda kwa bei tatizo kwa Wananchi-Dk Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar TATIZO kubwa linalosababisha wananchi kushindwa kupata mahitaji yao ya kila siku ni kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali…

Continue Reading....

Dk. Shein azungumza na Balozi wa China, Youging

Posted on: April 15, 2012 - jomushi
Dk. Shein azungumza na Balozi wa China, Youging

Continue Reading....

Diamond ang’ara tena Tuzo za Kili 2012

Posted on: April 14, 2012October 15, 2013 - jomushi
Diamond ang’ara tena Tuzo za Kili 2012

MWANAMUZIKI nyota wa muziki wa Kizazi kipya, Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond ameibuka tena kinara wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA) baada…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari