Author: jomushi
Pep Guardiola kuondoka Barcelona
Inafahamika kuwa Pep Guardiola anakaribia kuacha kuifundisha Barcelona baada ya kuifahamisha klabu hiyo kuwa hawezi kuendelea kuwa kocha. Guardiola mwenye umri wa miaka 41 atatangaza…
Continue Reading....Rais wa Malawi amfuta kazi hasimu wake
Rais mpya wa Malawi Joyce Banda amemfuta kazi Waziri wa mambo ya nje Peter Mutharika, kakake Marehemu Rais Bingu Wa Mutharika aliyefariki dunia mwezi huu.…
Continue Reading....ECOWAS kutuma Jeshi Mali na G.Bissau
Viongozi wa kanda ya Afrika Magharibi wameafikiana kutuma wanajeshi katika nchi za Mali na Guinea-Bissau kufuatia mapinduzi katika hizo. Nchi wanachama wa ECOWAS zilitoa taarifa…
Continue Reading....