Na Father Kidevu Blog, Mbeya MANENO ya Injili yanayosema Wamwisho anakuwa wakwanza na wakwanza akawa wamwisho yametima hii leo katika Uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya…
Continue Reading....Author: jomushi
Ziara ya Mama Salma Kikwete Washington DC
Na Mwandishi Maalumu, Washington DC MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewahimiza wadau afya na lishe kutoka mashirika yasiyo ya kiserikali kushirikiana na taasisi za…
Continue Reading....Maafisa feki wa Ustawi wa Jamii wajitokeza
Na mwandishi wetu Kilimanjaro WIMBI kubwa la watu walioibuka mitaani na kujiita wataalamu wa Ustawi wa jamii ili hali hawana taaluma ya fani hiyo wamejitokeza…
Continue Reading....Zitto afanya mazungumzo na Spika wa zamani wa Marekani Pelosi
Mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa zamani wa Marekani Nancy Pelosi (kushoto) na Mbunge Dennis Kucinich.
Continue Reading....Obama aitabiria mema Tanzania, ni kuhusu kilimo
Na Mwandishi Maalumu, Washington TANZANIA itakua moja ya nchi za mwanzo barani Afrika, kunufaika na mpango wa pamoja wa Kilimo kwa nia ya kuongeza na…
Continue Reading....Mabondia wapima uzito kwa mpambano
MABONDIA, Ramadhan Kumbele na James Mokiwa wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika Ukumbi wa VIJANA – KINONDONI. Mabondia wote wapo katika…
Continue Reading....