Author: jomushi
Vodacom yazindua promosheni ya wikiendi ya wajanja
KAMPUNI ya mawasiliano inayoongoza Tanzania, Vodacom imezindua promosheni kwa ajili ya wateja wake ambapo kuanzia leo hadi mwisho wa wikiendi watapata nyongeza ya asilimia hamsini…
Continue Reading....Matukio katika picha mkutano wa marais wastaafu nchi nne Afrika
Pichani shoto ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania,Mh Benjamini Mkapa akichangia mada mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa kwenye mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya…
Continue Reading....Marais wastaafu nchi nne Afrika wakutana Afrika Kusini
Na Michuzijr Blog-Johannesburg MARAIS wastaafu nane wa nchi za Afrika wamekutana jijini Johannesburg, Afrika Kusini na kufanya mkutano wa siku tatu ndani ya Chuo Kikuu…
Continue Reading....Dk Bilal amwakilisha Rais Kikwete Mkutano wa Maendeleo Endelevu Afrika
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Dk. Mohammed Gharib Bilal amemwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa Maendeleo Endelevu Afrika unaolenga katika kujumuisha…
Continue Reading....