Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,803

Author: jomushi

Nape akagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Singida

Posted on: June 2, 2012June 3, 2012 - jomushi
Nape akagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Singida

Katibu tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (wapili kulia) akionyesha ramani ya jengo la utawala la hospitali ya rufani ya Singida ambayo ujenzi unaendelea.…

Continue Reading....

Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Posted on: June 2, 2012June 2, 2012 - jomushi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mikoa ikiwa…

Continue Reading....

Pumzika kwa amani Magoma Shabani

Posted on: June 2, 2012 - jomushi
Pumzika kwa amani Magoma Shabani

BONDIA wa kimataifa na bingwa wa dunia wa WBU uzani wa flyweight MAGOMA SHABAN amefariki jana saa mbili na nusu usiku katika hospital ya Bombo…

Continue Reading....

Rais Jakaya akagua jengo la Jumuiya ya A.Mashariki-Arusha

Posted on: June 2, 2012June 2, 2012 - jomushi
Rais Jakaya akagua jengo la Jumuiya ya A.Mashariki-Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana…

Continue Reading....

Stars yawasili Abdjan, Kim ajitetea mechi itakuwa ngumu

Posted on: June 2, 2012June 2, 2012 - jomushi
Stars yawasili Abdjan, Kim ajitetea mechi itakuwa ngumu

Kikosi cha Taifa Stars kimewasili hapa Abidjan (Mei 31 mwaka huu) mchana huku Kocha Mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen akisema mechi dhidi ya Ivory…

Continue Reading....

Afya ya uzazi kupewa kipaumbele mchakato wa Katiba mpya

Posted on: June 2, 2012June 2, 2012 - jomushi
Afya ya uzazi kupewa kipaumbele mchakato wa Katiba mpya

JAMII iimeshauriwa kulipa kipaumbele suala ya mapendekezo ya kuwepo kwa sheria ya Afya ya Uzazi Salama katika mchakato wa kuwepo kwa Katiba Mpya , ambayo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari