Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu mpya wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mh Leph Gembe akiingia Ukumbini huku akisindikizwa na Mwenyekiti wa taasisi ya wanafunzi…
Continue Reading....Author: jomushi
Nadal kukutana na Djokovic fainali
BINGWA mtetezi wa taji la Tennis ya mashindano ya kila mwaka ya Ufaransa, Rafael Nadal amefuzu kwa mara ya saba mfululizo kushiriki fainali kwa kumtwanga…
Continue Reading....Afrika ina wachezaji tosha Euro 2012
MASHINDANO ya kombe la Mataifa ya Ulaya, yajulikanayo kama Euro 2012 yameanza nchini Poland na Ukraine. Mashindano haya ni kivutio kwa wachezaji nyota wanaoshiriki Ligi…
Continue Reading....Maharamia kushtakiwa Mauritious
UINGEREZA imetia saini mkataba na Mauritious kuruhusu washukiwa wa uharamia waliokamatwa na jeshi na wanamaji kupelekwa kisiwani humo kwa mashtaka. Waziri mkuu David Cameron alikutana…
Continue Reading....Rais Omar El Bashir kikwazo Malawi
SERIKALI ya Malawi, haitakuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Afrika uliotarajiwa kufanyika mjini Lilongwe mwezi Ujao. Hatua hii imekuja baada ya malumbano kuhusu rais…
Continue Reading....Mabondia Majia na Ramadhan wapima uzito kuzichapa
BONDIA Fadhili Majia ambae ni Bingwa wa kimataifa wa UBO na Bingwa wa taifa wa flyweight-PST 2012, TPBO 2010, TPBC 2009 na chalenger wa ubingwa…
Continue Reading....