Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,787

Author: jomushi

Mukama akabidhi trekta kwa wakulima Kondoa

Posted on: June 13, 2012June 13, 2012 - jomushi
Mukama akabidhi trekta kwa wakulima Kondoa

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, akimkabidhi trekta, Diwani wa Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, Alhaj, Omary Kariati, kwenye Ofisi Ndogo…

Continue Reading....

Kaseba uso kwa uso na Cheka uwanja mpya wa taifa siku ya Sabasaba

Posted on: June 13, 2012 - jomushi
Kaseba uso kwa uso na Cheka  uwanja mpya wa taifa siku ya Sabasaba

Mabondia, Francis Cheka (kushoto) na Japhert Kaseba, wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao unaotarajia kufanyika Siku ya tarehe saba mwezi wa saba katika…

Continue Reading....

Taifa stars yajifua kuwakabili Mamba wa Msumbiji

Posted on: June 13, 2012June 13, 2012 - jomushi
Taifa stars yajifua kuwakabili Mamba wa Msumbiji

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema ili kuitoa Msumbiji ‘Mambas’ kwenye michuano ya Afrika ni lazima timu yake ishinde mechi ya marudiano itakayochezwa…

Continue Reading....

hapa ndipo tunapotarajia wasomi wa taifa letu

Posted on: June 13, 2012 - jomushi
hapa ndipo tunapotarajia wasomi wa taifa letu

Wakiwa-wanamsikiliza-Mwalimu-darasani-na-wengine-wakiandika-kwenye-madaftari-ya-mazoazi mazingira magumu yanavyochochea utoro mashuleni

Continue Reading....

Shule ya msingi Etaro na kilio cha madawati

Posted on: June 13, 2012June 13, 2012 - jomushi
Shule ya msingi Etaro na kilio cha madawati

Uhaba wa madawati katika shule za msingi na sekondari umeendelea kuumiza vichwa vya wapenda elimu pamoja na wazazi kwa ujumla nchini. Hii ikiwa ni pamoja…

Continue Reading....

Sheria ya ndoa za jinsia moja Uingereza

Posted on: June 13, 2012June 13, 2012 - jomushi
Sheria ya ndoa za jinsia moja Uingereza

KANISA la Kianglikana la nchini Uingereza limepinga vikali mpango wa serikali wa kutaka kuhalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja. Taarifa rasmi ya kanisa hilo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari