Author: jomushi
Sheria ya kutotoka nje yatangazwa Nigeria
Maafisa wa Nigeria wametangaza sheria ya kutotoka nje katika mji wa Kaskazini Mashariki wa Damaturu kufuatia makabiliano makali kati ya jeshi na wapiganaji wa kisiilamu…
Continue Reading....Wawili waachiliwa na maharamia Somalia
Raia wawili wa Afrika Kusini ambao wamekuwa wakishikiliwa mateka na Maharamia wa Kisomali wameachiliwa huru. Wawili hao, Bi Calitz na Bwana Pelizzari, ambao ni mtu…
Continue Reading....Deidre Lorenz awasili Moshi
MCHEZA sinema toka Marekani Deidre Lorenz amewasili mjini Moshi tayari kushiriki kwenye mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika juni 24. Lorenz amwasili leo na ndege…
Continue Reading....