Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,760

Author: jomushi

UEFA EURO 2012: Uhispania fainali

Posted on: June 29, 2012 - jomushi
UEFA EURO 2012: Uhispania fainali

Uhispania imefanikiwa kutinga kwa mara ya tatu katika fainali ya mashindano makubwa duniani katika kipindi cha miaka sita,baada ya kuwashinda majirani zao Ureno kwa mikwaju…

Continue Reading....

Mario Baloteli aibeba Italia Uefa Euro 2012

Posted on: June 29, 2012June 29, 2012 - jomushi
Mario Baloteli aibeba Italia Uefa Euro 2012

Hayawi hayawi hatimaye yalikuwa, moto uliwaka usiku wa jana mjini Warsaw kufuatia mchuano mkali baina ya Ujerumani na Italia. Italia ili ndiyo ilikuwa mbabe zaidi…

Continue Reading....

Ufadhili wa silaha waleta vita S Sudan

Posted on: June 29, 2012 - jomushi
Ufadhili wa silaha waleta vita S Sudan

SILAHA kutoka China, Ukraine na Sudan zinachangia machafuko Sudan Kusini. Hii ni kwa mujibu wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International. Ripoti ya…

Continue Reading....

Mwanariadha wa Kenya matatani

Posted on: June 29, 2012 - jomushi
Mwanariadha wa Kenya matatani

POLISI nchini Kenya wamemchukulia hatua mwanariadha mashuhuri Ezekiel Kemboi kwa madai ya kumdunga kisu mwanamke mmoja Jumatano usiku. Kemboi anasifika kwa mbio za mita elfu…

Continue Reading....

UNESCO yahofia usalama wa maeneo ya kale

Posted on: June 29, 2012June 29, 2012 - jomushi
UNESCO yahofia usalama wa maeneo ya kale

UMOJA wa Mataifa umeelezea wasi wasi dhidi ya usalama wa mji wa kale wa Timbuktu kaskazini mwa Mali huku machafuko yakiendelea eneo hilo. Shirika la…

Continue Reading....

Vodacom kudhamini maonyesho 36 ya Sabasaba

Posted on: June 29, 2012 - jomushi
Vodacom kudhamini maonyesho 36  ya Sabasaba

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari