Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,698

Author: jomushi

Serikali kujenga hospitali teule Himo

Posted on: August 14, 2012 - jomushi
Serikali kujenga hospitali teule Himo

Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma SERIKALI imetenga kiasi sh. milioni 400 katika kipindi cha mwaka wa fedha 2012/2013 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali…

Continue Reading....

Wizara ya Maliasili na Utalii yamtimua Mkurugenzi

Posted on: August 14, 2012 - jomushi
Wizara ya Maliasili na Utalii yamtimua Mkurugenzi

Na Magreth Kinabo – Maelezo Dodoma SERIKALI imemfukuza kazi Mkurugenzi wa Wanyamapori, Wizara ya Maliasili na Utalii, Obeid Mbangwa na watumishi wengine wawili wa baada…

Continue Reading....

Helikopta za kivita za Uganda zilizopotea zapatikana

Posted on: August 13, 2012 - jomushi
Helikopta za kivita za Uganda zilizopotea zapatikana

JESHI la Uganda limesema helikopta zake nne zilizokuwa zime ripotiwa kutoweka zikiwa njiani kuelekea Somalia sasa zimepatikana na marubani wake wote wakiwa hai. Akizungumza msemaji…

Continue Reading....

Helikopta za Uganda zapotea anga ya Kenya

Posted on: August 13, 2012 - jomushi
Helikopta za Uganda zapotea anga ya Kenya

HELIKOPTA tatu za Uganda zikiwa njiani kuelekea Somalia zimepotea katika ardhi ya Kenya. Maofisa wa jeshi la Kenya wamesema kwamba helikopta nne ziliondoka Uganda na…

Continue Reading....

Matukio katika picha kwenye mjadala ‘live’ wa bajeti ya elimu Dar es Salaam

Posted on: August 13, 2012 - jomushi
Matukio katika picha kwenye mjadala ‘live’ wa bajeti ya elimu Dar es Salaam

Continue Reading....

Wasomi UDSM waikosoa bajeti ya elimu ‘live’

Posted on: August 13, 2012 - jomushi
Wasomi UDSM waikosoa bajeti ya elimu ‘live’

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com TAASISI ya HakiElimu leo jijini Dar es Salaam imewakutanisha baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), walimu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari