Author: jomushi
Wanahabari wapigwa Msasa kuandika Habari za Afya
Na Shomari Binda MUUNGANO wa vilabu vya waandishi wa habari nchini UTPC, umenza kutoa mafunzo maalum kuandika habari za afya kwa waandishi wa habari katika…
Continue Reading....Dk Shein awataka wana-Marumbi kumaliza mgogoro
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya mazungumzo na wananchi wa kijiji…
Continue Reading....Vitambulisho vya raia EAC kutumika kama paspoti za kusafiria
Na Mwandishi wa EANA, Arusha KUNA uwezekano kwamba vitambulisho vya kitaifa walivyonavyo raia wa Afrika Mashariki vinaweza siku moja kutumika kama hati mbadala ya kusafiria…
Continue Reading....Taifa Stars, Botswana watoka 3-3
TAIFA Stars imetoka sare ya mabao 3-3 na wenyeji Botswana (Zebras) katika moja kati ya mechi kadhaa za kirafiki za kalenda ya Shirikisho la Kimataifa…
Continue Reading....HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI, KABWE ZUBERI ZITTO KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI MWAKA 2012/13
1.0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa Kanuni za Bunge kanuni ya 99(7), toleo la mwaka 2007 na kwa niaba ya Kambi Rasmi ya Upinzani…
Continue Reading....