Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,656

Author: jomushi

Waislam Dar es Salaam Waandamana Kulaani Filamu Iliyomkashifu Mtume

Posted on: September 21, 2012September 21, 2012 - jomushi
Waislam Dar es Salaam Waandamana Kulaani Filamu Iliyomkashifu Mtume

Mmoja wa waandamanaji akizungumza na vyombo vya habari kuelezea nia ya maandamano yao Na Joachim Mushi BAADHI ya waumini wa dini ya Kiislamu leo jijini…

Continue Reading....

Mama Salma Awataka Wanafunzi Kutochanganya Mapenzi na Shule

Posted on: September 21, 2012September 21, 2012 - jomushi
Mama Salma Awataka Wanafunzi Kutochanganya Mapenzi na Shule

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais wa Tanzania, Mama Salma Kikwete amewataka wanafunzi wa kike nchini kutochanganya mapenzi na shule kwani kwa kufanya…

Continue Reading....

Yanga Kushtakiwa Kwa Kuikashfu Hoteli Mbeya

Posted on: September 21, 2012 - jomushi
Yanga Kushtakiwa Kwa Kuikashfu Hoteli Mbeya

Na Mwandishi Wetu UONGOZI wa Chama cha Wamiliki wa Mahoteli Mkoa pamoja na mmiliki wa Peter Safari’s Hotel unatarajia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya…

Continue Reading....

Wilaya 40 Tanzania Zanufaika na Msaada wa Dawa za Vikope

Posted on: September 21, 2012 - jomushi
Wilaya 40 Tanzania Zanufaika na Msaada wa Dawa za Vikope

Na Aron Msigwa Maelezo, Dar es Salaam SERIKALI ya Tanzania inatarajiwa kusambaza dawa aina ya Zithromax inayotibu ugonjwa wa vikope katika wilaya 40 baada ya…

Continue Reading....

Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani Jijini Dar es Salaam

Posted on: September 21, 2012 - jomushi

  Maandamano barabarani. Mgeni rasmi Dkt. Migiro (katikati), Dk. Kacou pamoja na Balozi wa Nigeria nchini Dk. Nanjabu (kushoto) wakiwa wamebeba sanamu mfano wa ndege…

Continue Reading....

Kimisheni ya Ngumi Tanzania Yaisaidia BFT

Posted on: September 20, 2012 - jomushi
Kimisheni ya Ngumi Tanzania Yaisaidia BFT

Na Mwandishi Wetu KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBC) imelipiga jeki Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) katika mashindano yaliyomalizika kwenye uwanja wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari