MBUNGE wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua Nassari amekanusha taarifa zilizoandikwa na magazeti ya Uhuru na Habari Leo kuwa alifyatua risasi na kuzua tafrani katika uchaguzi…
Continue Reading....Author: jomushi
Mkutano wa Tisa wa Bunge la Tanzania Kuanza Leo
MKUTANO wa Tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaanza leo mjini Dodoma. Taarifa kamili na shughuli anuai zinazotarajiwa kufanywa na mkutano huo…
Continue Reading....Hilary Clinton Ziarani Nchini Nigeria
WAZIRI wa mambo ya nje wa Marekani, Hilary Clinton yuko nchini Nigeria, kuzungumzia swala la kukithiri kwa tisho la usalama kutokana na makundi ya wapiganaji…
Continue Reading....Maombezi ya Kuombea Amani Tanzania
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni, Dk. Getrude Rwakatare akitoa Ujumbe kwa Watanzania waliohudhiria Ibada Maalum ya Kuliombea Taifa ambapo ametaka…
Continue Reading....Shamra shamra za Eid El Hajj na Skylight Band
Pichani Juu na Chini ni kundi zima la SKYLIGHT Band likitoa burudani ya kukata na shoka katika kusheherekea Sikukuu ya Eid El Hajj katika kiota…
Continue Reading....Chama Cha Wapangaji Waja Juu Watoa Karipio Kwa NHC
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Wapangaji nchini kimelitaka Shirika la Nyumba Taifa (NHC) kuacha utaratibu wa kuziuza nyumba za shirika hilo kwa kisingizio cha mpangaji…
Continue Reading....