Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Moi akifungua rasmi sherehe za kuadhimisha siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na Mgongo wazi Duniani,ambapo alisema wanakazi…
Continue Reading....Author: jomushi
Serikali Itaendelea Kudumisha Uhusiano na Ushirikiano Kati ya Tanzania na India
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kudumisha uhusiano na ushirikiano wa kihistoria kati ya Tanzania na…
Continue Reading....Wafanyakazi wa NMB Mandela Watoa Msaada kwa Wagonjwa Hospitali ya Rufaa Mawenzi
Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi wakishusha zawadi mbalimbali kwa ajili ya kugawa kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya rufaa…
Continue Reading....Prof. Mbarawa Aitaka Bodi Mpya ya TAA Kusitisha Ajira za Upendeleo
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameitaka Bodi mpya ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kusimamia Menejimenti ya Mamlaka hiyo…
Continue Reading....Wadau waunga Mkono Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari
Benedict Liwenga- WHUSM WADAU wa Habari wameisifu Serikali kwa kuundaa na kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Huduma za Jabari. Wamesema ni jambo ambalo lilikuwa…
Continue Reading....