Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,341

Author: jomushi

Vigogo Watatu Wizara ya Ardhi Wapandishwa Kizimbani

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Vigogo Watatu Wizara ya Ardhi Wapandishwa Kizimbani

VIGOGO watatu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne, ikiwamo la matumizi…

Continue Reading....

Pinda, Mbowe Ngoma Nzito Bungeni

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Pinda, Mbowe Ngoma Nzito Bungeni

MVUTANO kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya unaozigonganisha Serikali na Chadema ulizidi kupamba moto bungeni jana wakati wa mjadala wa kuhitimisha hotuba ya bajeti…

Continue Reading....

Kumbukumbu ya Miaka 5 ya Kifo cha Mzee Anthony Njeje

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Kumbukumbu ya Miaka 5 ya Kifo cha Mzee Anthony Njeje

Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa Machi 17, 2008 Marehemu Anthony Njeje.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho…

Continue Reading....

Watatu Wauwawa, Milipuko ya Boston, Marekani, 140 Wajeruhiwa

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Watatu Wauwawa, Milipuko ya Boston, Marekani, 140 Wajeruhiwa

HADI sasa watu watatu wameshakufa kutokana na mashambulio ya mabomu mawili yaliyolipuka wakati wa mbio ndefu za marathon katika Mji wa Boston nchini Marekani, Mabomu…

Continue Reading....

Dk. Gharib Bilal Akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Watafiti Wanasayasi Afrika

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Dk. Gharib Bilal Akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Watafiti Wanasayasi Afrika

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali akifungua rasmi Mkutano wa Pamoja wa Kimataifa wa Watafiti Wanasayasi Afrika ulioandalia na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa…

Continue Reading....

Abdulrahman Kinana Aunguruma Ifakara, Morogoro

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Abdulrahman Kinana Aunguruma Ifakara, Morogoro

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari