Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,302

Author: jomushi

Kiluvya United, Manyara Zaondolewa Ligi ya Mabingwa Mikoa

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Kiluvya United, Manyara Zaondolewa Ligi ya Mabingwa Mikoa

WAKATI Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) inaanza kutimua vumbi Mei 12 mwaka huu, timu mbili zinakwenda moja kwa moja raundi inayofuata baada ya mabingwa…

Continue Reading....

Serikali Kuwashughulikia Wachochezi – Mizengo Pinda

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Serikali Kuwashughulikia Wachochezi – Mizengo Pinda

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali ina kazi kubwa ya kushughulika na kundi dogo inalojihusisha na lugha za uchochezi wa kidini ambao unachangia kudhoofisha amani…

Continue Reading....

Misamaha Itolewe kwa Wahusika – Serikali

Posted on: May 11, 2013May 11, 2013 - jomushi
Misamaha Itolewe kwa Wahusika – Serikali

Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma   SERIKALI imewaagiza watendaji na wananchi kupitia kamati zao za afya kuhakikisha misamaha inatolewa kwa wote wanaostahili. Aidha imesema…

Continue Reading....

Mama Salma Kikwete Awataka Wazazi Kutobagua Watoto

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Mama Salma Kikwete Awataka Wazazi Kutobagua Watoto

Na Anna Nkinda – Maelezo WAZAZI nchini wametakiwa kuwafundisha watoto wao kazi zote za nyumbani bila ya kuwabagua kwamba hawa ni watoto wa kike na hawa…

Continue Reading....

Matukio Bungeni Dodoma

Posted on: May 11, 2013May 11, 2013 - jomushi
Matukio Bungeni Dodoma

Continue Reading....

Wananchi Kusafiri Mtwara Hadi Bukoba kwa Lami, Huduma Bora kwa Wafungwa

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Wananchi Kusafiri Mtwara Hadi Bukoba kwa Lami, Huduma Bora kwa Wafungwa

Na Immaculate Makilika- Dodoma WANANCHI kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwa barabara ya lami. Hayo yamesemwa bungeni mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokuwa akijibu swali la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari