RAIS wa Marekani anatarajiwa kuzuru Bara la Afrika mwezi ujao ambako atazuru mataifa ya Senegal, Afrika kusini na Tanzania. Katika taarifa msemaji wa Ikulu ya…
Continue Reading....Author: jomushi
Polisi Uganda Wavamia Ofisi za Vyombo vya Habari Kusaka Kielelezo
POLISI nchini Ugandan wamevamia ofisi za magazeti kufuatia taarifa kwamba Rais Yeweri Museveni anamuandaa mwanawe wa kiume kumrithi urais. Taarifa zinasema vituo viwili vya Redio…
Continue Reading....Msigwa Afikishwa Mahakamani Iringa kwa Uchozizi, Aachiwa kwa Dhamana…!
SAKATA la vurugu za machinga na Polisi mjini Iringa limechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kumfikisha mahakamani mbunge wa Jimbo la Iringa mjini mchungaji,…
Continue Reading....Watumishi wa Serikali Kukopeshwa Nyumba Kuanzia Septemba 2013
WATUMISHI wa Serikali, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, kuanzia Septemba mwaka huu wataanza kunufaika na mikopo nafuu ya ujenzi wa nyumba za…
Continue Reading....