RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete amelaani kwa mara nyingine vitendo “vya aibu” vya mauaji ya albino kwa sababu za kishirikina,…
Continue Reading....Author: jomushi
Salshia Isidore Atwaa Taji la Redd’s Miss Geita 2013
Na Father Kidevu Blog, Geita MREMBO Salshia Isidore amechaguliwa kuwa Redd’s Miss Geita 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 12 katika shindano lililifanyika Jumamosi Juni 1, kwenye ukumbi wa…
Continue Reading....Tanzania Kunufaika Zaidi na Bandari ya Mtwara na Tanga
Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa Tanzania itanufaika zaidi kibiashara kupitia bandari ya Dar es salaam, Mtwara na Tanga kutokana…
Continue Reading....Wake za Marais Wafundishwa Ujasiriamali Japan
Na Anna Nkinda – Yokohama WAKE wa marais wa Afrika wamefundishwa jinsi ya kutengeneza bidhaa za mikono aina ya mapambo ya nywele na nguo zinatengenezwa…
Continue Reading....Waziri Pinda ‘Avamia’ Kambi ya Wajenzi wa Kichina
WAZIRI Mkuu Mizengo Jumamosi, Juni Mosi, 2013 alilazimika kufanya ziara ya ghafla kwenye kambi ya wajenzi wa barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni ili kupata maelezo ni kwa…
Continue Reading....Mahitaji ya Mkaa Tanzania Yateketeza Hekta Laki Nne Kwa Mwaka
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Tanzania inapoteza kiasi cha hekta 400,000 za misitu kila mwaka kwa sababu ya ukataji miti unaochochewa na matumizi ya…
Continue Reading....