SHIRIKA la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema kuwa litaisaidia Tanzania katika kuanzisha Benki ya Kilimo nchini kama namna bora zaidi ya…
Continue Reading....Author: jomushi
Tanzania Yaomba Japan Kusaidia Walimu wa Sayansi na Hisabati
TANZANIA imeiomba Japan kusaidia upatikanaji wa walimu wa hisabati na sayansi na namna ya kufundisha walimu wa masomo hayo nchini kama namna haraka ya kukabiliana…
Continue Reading....Bingwa wa Pan-African Guinness Football Challenge Kujulikana Kesho
JUMATANO iliyopita tarehe 19 Mei 2013 kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, timu pinzani kutoka barani Afrika zilipambana kushindania nafasi mbili za fainali ya…
Continue Reading....Baraza la Biashara EAC Lapata Mwenyekiti Mpya
Na Isaac Mwangi, EANA, Arusha BARAZA la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) limemchagua Vimal Shah,Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya BIDCO ya Kenya kuwa Mwenyekiti…
Continue Reading....Sitanyamazia Kushambuliwa Kwangu – Absalom Kibanda
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda amerejea chini jana kutoka Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa na kusisitiza kwamba hatanyamaza kuzungumzia janga la kushambuliwa…
Continue Reading....