WABUNGE wanne wa Chadema, Said Arfi (Mpanda Mjini), Tundu Lissu (Singida Mashariki), Mustapha Akunaay (Mbulu) na Joyce Mukya (Viti Maalumu) wamekamatwa wakituhumiwa kuhusika na mkusanyiko…
Continue Reading....Author: jomushi
Wanafunzi Kidato cha Sita Wabebeshwa Mzigo wa Ualimu Sayansi Rombo
Na dev.kisakuzi.com, Rombo KITENDO cha upungufu wa walimu wa sayansi nchini hasa katika shule za sekondari zinazomilikiwa na serikali kimezidi kuibua changamoto maeneo mbalimbali nchi.…
Continue Reading....TAARIFA FUPI YA UCHUNGUZI JUU YA MATUKIO YA MIMBA KWA WANAFUNZI WILAYA YA HANDENI, MKOANI TANGA
TAARIFA FUPI YA UCHUNGUZI JUU YA MATUKIO YA MIMBA KWA WANAFUNZI WILAYA YA HANDENI, MKOANI TANGA. UTANGULIZI Uchunguzi huu umefanyika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.…
Continue Reading....Klabu ya Nchini Thailand Yasaka Wachezaji Tanzania, TFF Yatoa ITC kwa Mtanzania Kucheza Yemen
KLABU ya Thai Port Football ya Thailand inatafuta wachezaji nchini Tanzania kwa ajili ya kucheza mpira wa miguu nchini humo na katika nchi nyingine barani…
Continue Reading....Ivory Coast, Taifa Stars Waingiza Mil 502, TFF Yapongeza Mashabiki
MECHI ya mchujo ya Kombe la Dunia, Kundi C, Kanda ya Afrika kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Ivory Coast (The Elephants) iliyochezwa jana (Juni…
Continue Reading....Mabondia Yohana na Matayo Kuzipiga
KWA mara nyingine limeandaliwa pambano la ngumi la ki aina yake ni kati ya mabondia wakimya na wapole usoni na wasiopenda kabisa kuongea Yohana Robert…
Continue Reading....