Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,240

Author: jomushi

Risali Zilitukwamisha Kumkamata Mlipuaji Bomu Arusha – Mashuhuda

Posted on: June 22, 2013 - jomushi
Risali Zilitukwamisha Kumkamata Mlipuaji Bomu Arusha – Mashuhuda

MASHUHUDA wa tukio la mlipuko wa bomu uliotokea mwishoni mwa wiki iliyopita Jijini Arusha, wamedai kumwona na kumtambua mtu aliyehusika na tukio hilo lakini wanasema…

Continue Reading....

Binafsi Siwaelewi Wanasiasa wa Tanzania…!

Posted on: June 22, 2013 - jomushi
Binafsi Siwaelewi Wanasiasa wa Tanzania…!

MI wakati mwingine huwa siwaelewi wana siasa wa nchi hii!! Yaani sasa kazi yao kubwa imekuwa ni kuteka hisia za wananchi eti kwa kusudi la…

Continue Reading....

Washindi wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 Wapatikana

Posted on: June 21, 2013 - jomushi
Washindi wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 Wapatikana

Jaji Mkuu wa shindano hilo Mtayarishaji wa Muziki, Man Walter akiwa na msaidizi wake wakati wa shindano hilo.  Na Cathbert Angelo, Kajunason Blog JUMLA ya…

Continue Reading....

Halfa ya Uzinduzi wa Hotel ya Chemuchemu Park

Posted on: June 21, 2013 - jomushi
Halfa ya Uzinduzi wa Hotel ya Chemuchemu Park

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) manispaa ya Singida, Hassan Mazala akizungumza juzi kwenye halfa ya uzinduzi wa hotel ya ya Chemuchemu park na shina…

Continue Reading....

Kampuni ya TANSEED International Kudhibiti Magugu Hatari

Posted on: June 21, 2013June 21, 2013 - jomushi
Kampuni ya TANSEED International Kudhibiti Magugu Hatari

Eleuteri Mangi – Maelezo KAMPUNI ya mbegu ya TANSEED International yenye Makao Makuu Mjini Morogoro imeandaa maonesho ya shamba darasa ya teknolojia mpya ya mbegu…

Continue Reading....

David Luhende Aongezwa Kikosi cha Taifa Stars, Timu 4 Kucheza RCL

Posted on: June 21, 2013 - jomushi
David Luhende Aongezwa Kikosi cha Taifa Stars, Timu 4 Kucheza RCL

BEKI wa Yanga, David Luhende ameongezwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya mechi dhidi ya Uganda (The Cranes) kuwania tiketi ya kucheza Fainali…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari