RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema hakuna hila yoyote katika marekebisho ya Katiba kwa vile yametokana na maagizo ya…
Continue Reading....Author: jomushi
Kiingilio Mechi ya Taifa Stars na The Cranes Shs 5,000/-
KIINGILIO cha chini katika mechi ya mchujo ya Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Uganda…
Continue Reading....Umoja wa Watanzania Ujerumani Kushiriki Tamasha la ‘Brüderschaft der völker’
WATAYARISHAJI wa Festival ya ‘Brüderschaft der völker’ mjini Aschaffenburg, nchini Ujeruamani, wameuhalika Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) kushiriki katika maonesho hayo ya utamaduni wa nchi mbalimbali…
Continue Reading....Baada ya Walimu Kugoma Kenya, Wanafunzi Wagida Pombe Baa
POLISI wa Kenya wamewakamata zaidi ya wanafunzi elfu moja baada ya kupatikana wakiwa walevi mjini Nairobi wikendi hii. Polisi waliendesha msako katika baa anuai na…
Continue Reading....Kazi ya Gesi Yetu ni Kufuta Umasikini – JK
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa jukumu kubwa la gesi asilia nyingi iliyogunduliwa na inayoendelea kugunduliwa maeneo mbali mbali…
Continue Reading....