Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,216

Author: jomushi

Uganda Cranes Yawasili Kuikabili Stars

Posted on: July 11, 2013 - jomushi
Uganda Cranes Yawasili Kuikabili Stars

TIMU ya Taifa ya Uganda (The Cranes) imewasili Dar es Salaam leo tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika…

Continue Reading....

Mshindi wa Droo ya Tatu ya Winda na Ushinde Atangazwa

Posted on: July 11, 2013July 11, 2013 - jomushi
Mshindi wa Droo ya Tatu ya Winda na Ushinde Atangazwa

Mfanyabiashara ndogondogo Morogoro ashinda shs 1,000,000 KAMPUNI ya bia ya Serengeti imetangaza mshindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya Winda na Ushinde ambae amejinyakulia…

Continue Reading....

Nafasi 10,000 Zakosa Wanafunzi Kidato cha 5

Posted on: July 11, 2013July 11, 2013 - jomushi
Nafasi 10,000 Zakosa Wanafunzi Kidato cha 5

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imetangaza majina ya wanafunzi watakaojiunga na kidato cha tano, huku zaidi ya nafasi 10,000 zikikosa wanafunzi kutokana na…

Continue Reading....

Jerry Silaa Afuturu na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Uchumi Mwanza

Posted on: July 11, 2013 - jomushi
Jerry Silaa Afuturu na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Uchumi Mwanza

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula (wa tatu kulia) pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (wa pili…

Continue Reading....

Interpol Yamtia Mbaroni Alex Massawe Dubai

Posted on: July 11, 2013 - jomushi
Interpol Yamtia Mbaroni Alex Massawe Dubai

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Alex Massawe ambaye alikuwa anatafutwa na Polisi wa Tanzania kwa muda mrefu, amekatwa Dubai, Falme za Kiarabu (UAE). Mkuu wa Shirika la…

Continue Reading....

Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Maadhimisho ya Miaka 50 ya JKT

Posted on: July 10, 2013 - jomushi
Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Maadhimisho ya Miaka 50 ya JKT

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA KILELE CHA SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA JESHI LA…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari