KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco, amewataka Wakristu Wakatoliki kuachana na kile alichokiita kupenda mali na madaraka. Wito huo ameutoa wakati akiadhimisha Ibada…
Continue Reading....Author: jomushi
Mbakaji Maarufu Ajinyoga Gerezani
MWANAMUME anayetuhumiwa kwa makosa mengi ya umbakaji, ‘mbakaji sugu’ nchini Afrika Kusini, Sifiso Makhubo, amekutwa akiwa amefariki katika chumba chake gerezani. Sifiso Makhubo, aliyekuwa anakabiliwa…
Continue Reading....Atakayechezea Mipaka ya Nchi yetu Kukiona cha Mtema Kuni –Kikwete
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa yeyote atakaye jaribu kuchezea usalama na mipaka ya Tanzania…
Continue Reading....JK: Baadhi ya Vyama vya Ushirika ni Mkusanyiko wa Wezi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa baadhi ya vyama vya ushirika nchini ni mkusanyiko wa wezi wanaokula fedha za…
Continue Reading....Usafi wa Jiji ni Zoezi Endelevu -Meck Sadik
HAYO yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki Ofisini kwake katika mkutano wake na waandishi wa habari. Amesema katika taarifa…
Continue Reading....