Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,190

Author: jomushi

Mabondia Kambi ya Bigright Boxing Waendelea Kujifua

Posted on: July 31, 2013 - jomushi
Mabondia Kambi ya Bigright Boxing Waendelea Kujifua

MABONDIA toka kambi ya Bigright Boxing ya Mwananyamala wapo kambini wakiendelea kujifua kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao ambao wanatarajia kuzichapa katika wakati tofauti na…

Continue Reading....

TFF, FIFA Kuwafanyisha Kuwatahini Waamuzi

Posted on: July 31, 2013July 31, 2013 - jomushi
TFF, FIFA Kuwafanyisha Kuwatahini Waamuzi

MTIHANI wa uwakala wa wachezaji (players agent) na uwakala wa mechi (match agent) wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Alhamisi ya…

Continue Reading....

Ndoa za Utotoni Zaendelea Kukatisha Masomo Watoto wa Kike

Posted on: July 31, 2013 - jomushi
Ndoa za Utotoni Zaendelea Kukatisha Masomo Watoto wa Kike

Na Anna Nkinda – Gaborone, Botswana IMEELEZWA kwamba ndoa za utotoni ni moja ya sababu inayowafanya watoto wa kike kukatiza masomo yao huku asilimia 24…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Thailand Awasili, Atangaza Mpango Kabambe wa Ushirikiano

Posted on: July 31, 2013July 31, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Thailand Awasili, Atangaza Mpango Kabambe wa Ushirikiano

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra Julai 30, 2013 wameshuhudia utiaji saini mikataba minne…

Continue Reading....

Wadau wa Soka Songea Kujadili Uwezekano wa Majimaji FC Kurejea Ligi Kuu

Posted on: July 31, 2013 - jomushi
Wadau wa Soka Songea Kujadili Uwezekano wa Majimaji FC Kurejea Ligi Kuu

*Klabu kuendeshwa kikampuni na hisa kuuzwa KAMPUNI ya Tanzania Mwandi ikishirikiana na Majimaji FC, imeandaa mkutano wa wadau wote wa soka mkoani Ruvuma chini ya…

Continue Reading....

TCRA Yazinduwa Kampeni ya Matumizi Mazuri ya Mawasiliano, Yazungumza na Bloggers

Posted on: July 31, 2013 - jomushi
TCRA Yazinduwa Kampeni ya Matumizi Mazuri ya Mawasiliano, Yazungumza na Bloggers

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania leo imezinduwa kampeni ya matumizi mazuri ya mawasiliano, ikiwa na lengo la kuelimisha jamii kutumia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari