KAMPUNI ya Glitz Entertainment imeandaa Toto Party kwa ajili ya watoto wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake linayotarajiwa kufanyika katika Art Gallery…
Continue Reading....Author: jomushi
LHRC Wamshtaki Waziri Mkuu Pinda Mahakamani
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemfungulia mashtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutokana na kauli yake aliyoitoa bungeni hivi karibuni kwamba wanaokaidi maagizo…
Continue Reading....Jamii Yatakiwa Kupinga Unyanyasaji kwa Watoto wa Kike
Na Anna Nkinda- Gaborone, Botswana JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha kuwa hakuna unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto wa kike na kuhakikishwa watoto hao wanalindwa…
Continue Reading....Mkemia Mkuu Asema Mafuta ya Ubuyu ni Hatari kwa Afya
MKEMIA Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele amewataka Watanzania kuacha kutumia mafuta ya ubuyu kwa maelezo kuwa yana kemikali yenye madhara kwa afya ya binadamu.…
Continue Reading....Waziri wa Mkapa Ataka Rais Ashtakiwe
MWANASIASA mkongwe nchini, Mateo Qaresi ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Serikali ya Awamu ya Pili na Tatu, ikiwamo uwaziri na ukuu wa mkoa, amesema…
Continue Reading....