MFANYABIASHARA tajiri wa Mirerani na Jijini Arusha, Erasto Msuya, ameuawa kwa kupigwa risasi zaidi ya 20 kwa kutumia bunduki aina ya Sub Machine Gun (SMG),…
Continue Reading....Author: jomushi
Wanawake Waingereza Wamwagiwa Acid Zanzibar, Obama Kuisaidia JKIA
POLISI mjini Zanzibar wameanza uchunguzi na kuwatafuta wanaume wawili ambao wanatuhumiwa kuwamwagia maji ya acid wanawake wawili raia wa Uingereza wakiwa matembezini mjini. Taarifa kutoka…
Continue Reading....CCM Yawagalagaza Wapinzani Uongozi wa Halmashauri Kibondo
Na Mwandishi Wetu, Kibondo KATIKA hali inayothibitisha ule usemi wa mwanamuziki Chamilion wa Uganda kuwa “fitina yako bahati yangu” wapinzani wameanguka baada ya kushindwa vibaya…
Continue Reading....Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Atembelea Maonesho ya Nanenane Dodoma
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Assah Mwambene (kulia) akizungumza jambo wakati yeye na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni kutoka wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo…
Continue Reading....