Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,175

Author: jomushi

Miss Tanzania Beauty Pageant…!

Posted on: August 16, 2013 - jomushi
Miss Tanzania Beauty Pageant…!

  ANY INFOS FOR NOW CALL 202-830-8904

Continue Reading....

Masikini Mrisho Ngasa, Kamati TFF Yamhukumu Vikali

Posted on: August 16, 2013 - jomushi
Masikini Mrisho Ngasa, Kamati TFF Yamhukumu Vikali

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitia usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya…

Continue Reading....

Uchaguzi TFF Wasogezwa Mbele

Posted on: August 16, 2013 - jomushi
Uchaguzi TFF Wasogezwa Mbele

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuzingatia mamlaka iliyonayo katika kifungu cha 10(6) cha Kanuni za Uchaguzi za TFF…

Continue Reading....

Mwl Mkuu S/M Makumbusho Awatolea ‘Uvivu’ Wazazi

Posted on: August 16, 2013 - jomushi
Mwl Mkuu S/M Makumbusho Awatolea ‘Uvivu’ Wazazi

Na Mwandishi Wetu, MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Makumbusho, Mwalimu Lyimo leo ameamua kuwapa ukweli wazazi wenye watoto wanaosoma katika shule hiyo, baada ya…

Continue Reading....

FFU wa Ngoma Africa Band Watwaa Tena International Diaspora Award 2013

Posted on: August 16, 2013 - jomushi
FFU wa Ngoma Africa Band Watwaa Tena International Diaspora Award 2013

*Mabalozi wa Kiafrika nchini Ujerumani waipongeza KWA mara nyingine tena Ngoma Africa Band aka FFU wamefanikiwa kutetea ubingwa wao wa Bendi Bora na kujichukulia tuzo…

Continue Reading....

Mrembo Redds Miss Ilala 2013 Kunyakuwa Mil 1.5

Posted on: August 15, 2013 - jomushi
Mrembo Redds Miss Ilala 2013 Kunyakuwa Mil 1.5

MREMBO atakayetwaa taji la Redds Miss Ilala 2013, linalofanyika Agosti 16, ataondoka na zawadi ya Shs. Milioni 1,500,000, huku mshindi wa pili atajipatia shs milioni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari