Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2013,usiku huu kwenu uwanja wa Lake Tanganyika. Sehemu ya…
Continue Reading....Author: jomushi
Wakuu wa Nchi SADC Kumthibitisha Mtanzania Kuwa Katibu Mtendaji
WAKUU wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Agosti 17, 2013, wanatarajiwa kumdhibitisha Dk. Stergomena Tax wa Tanzania kuwa Katibu Mtendaji…
Continue Reading....JK Asifiwa Kupigania Amani na Utawala Bora
RAIS wa Jamhuri ya Malawi, Joyce Banda amemwelezea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kama mwanademokrasia na kiongozi hodari anayepigania amani…
Continue Reading....Foolish Age ya Lulu Kuzinduliwa Agosti 30
Msaani mwenye kipaji cha Hali ya juu nchini na Mwenye umri mdogo Elizabeth Michael “LULU”anatarajia kuzindua filamu yake ya Kwanza tokea alipotoka Gerezani, Filamu hii…
Continue Reading....Msanii Mfuga Bundi Aeleza Namna Anavyowapenda Ndege Hao
MSANII na Kiongozi wa kundi la Ngoma Afrika Bend, Kamanda Ras Makunja ameeleza sababu ya kuwapenda ndege aina ya bundi na kuamua kuwafuga nyumbani kwake,…
Continue Reading....