WANAMGAMBO wa kisomali wamewauawa kwa kuwapiga risasi polisi wanne wa Kenya karibu na mpaka wa Somalia, maofisa wamesema. Takriban watu 40 waliojihami kwa silaha walishambulia…
Continue Reading....Author: jomushi
Michel Djotodia Aapishwa Kuwa Rais
KIONGOZI wa zamani wa waasi ambaye alifanya mapinduzi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia ameapishwa kuwa rais. Djotodia ameahidi kuandaa uchaguzi kufikia mwanzo…
Continue Reading....Watuhumiwa Dawa za Kulevya JNIA Kujieleza Mbele ya Tume
MKURUGENZI wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA), Moses Malaki, amesema watuhumiwa wa njama za kupitisha kilo 150 za dawa za kulevya aina…
Continue Reading....Matukio Katika Warsha ya Wiki Moja kwa Redio za Jamii
Afisa Mipango Taifa wa Kitengo cha Mawasiliano na Habari na mratibu wa miradi ya UNESCO Yusuph Al-Amin asikiliza maoni wakati akiendesha mjadala wa namna ya…
Continue Reading....Wafuasi wa Ponda Wapiga Kambi Segerea
WAFUASI wa Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda wamepiga kambi katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam wakitaka kumwona bila…
Continue Reading....