Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 114

Author: jomushi

Uwanja wa Ndege Mwanza Kukamilika Novemba

Posted on: January 11, 2017 - jomushi
Post Tags: Mwanza
Uwanja wa Ndege Mwanza Kukamilika Novemba

  WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mkandarasi anayejenga na  kukarabati uwanja wa ndege wa Mwanza Beijing Construction Engineering Group (BCEG),…

Continue Reading....

Rais Magufuli Afanya Mazungumzo na Mjumbe wa Rais wa Nigeria

Posted on: January 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Dk. Magufuli
Rais Magufuli Afanya Mazungumzo na Mjumbe wa Rais wa Nigeria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa…

Continue Reading....

Chuo cha CBE Waibuka Vinara ‘TTCL Inter College Beach Soccer’

Posted on: January 9, 2017 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Chuo cha CBE Waibuka Vinara ‘TTCL Inter College Beach Soccer’

    Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE) kimeibuka vinara wa Mashindano ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni ‘TTCL…

Continue Reading....

Kampuni ya TTCL yadhamini michuano ya vyuo Soka la Ufukweni

Posted on: January 9, 2017 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Kampuni ya TTCL yadhamini michuano ya vyuo Soka la Ufukweni

Mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es salaam wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Jane Mwakalebela (wa tatu kushoto) akimkabidhi nahodha wa timu ya…

Continue Reading....

Wafanyakazi wa Jambo Leo Walivyo Ukaribisha Mwaka Mpya 2017…!

Posted on: January 8, 2017 - jomushi
Post Tags: Wafanyakazi
Wafanyakazi wa Jambo Leo Walivyo Ukaribisha Mwaka Mpya 2017…!

  Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya…

Continue Reading....

Muziki wa Tanzania na Tathmini ya John Kitime 2016

Posted on: January 8, 2017 - jomushi
Muziki wa Tanzania na Tathmini ya John Kitime 2016

    JANUARI 2013, niliandika makala kuhusu nilivyouona muziki mwaka 2012. Naona nirudie makala ile kama nilivyoiandika, na kukuachia msomaji kulinganisha na hali ilivyokuwa 2016. Mwaka 2012 ndio huoo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari