Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,094

Author: jomushi

Rais Jakaya Kikwete Atuma Salama za Rambirambi Msiba wa Julias Nyaisanga, Kuagwa Kesho Dar

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Rais Jakaya Kikwete Atuma Salama za Rambirambi Msiba wa Julias Nyaisanga, Kuagwa Kesho Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kufuatia…

Continue Reading....

Angalia Takwimu Pato la Taifa la Tanzania Mwaka 2013

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Angalia Takwimu Pato la Taifa la Tanzania Mwaka 2013

Pato la Taifa la Tanzania kwa robo ya pili ya mwaka Aprili- Juni 2013 OFISI ya Taifa ya Takwimu, Wizara ya Fedha ina jukumu la…

Continue Reading....

Mwanamuziki Profesa Jay Kutumia Barcode Kuuza Kazi Zake

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Mwanamuziki Profesa Jay Kutumia Barcode Kuuza Kazi Zake

WANAMUZIKI nchini wameaswa kuchangamkia fursa zilizopo kwa kujitangaza na kutanua wigo wa mashabiki wao kwa kujiunga na huduma ya Barcode. Hayo yamesemwa leo na mwanamuziki…

Continue Reading....

Simba, Yanga Zavuna Mil 123 Kila Moja Mgao wa Mapato ya Pambano Lao

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Simba, Yanga Zavuna Mil 123 Kila Moja Mgao wa Mapato ya Pambano Lao

MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ya watani wa jadi Simba na Yanga iliyochezwa jana (Oktoba 20 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar…

Continue Reading....

Dk. Nchimbi Kufungua Mkutano wa Maofisa Waandamizi Jeshi la Magereza

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Dk. Nchimbi Kufungua Mkutano wa Maofisa Waandamizi Jeshi la Magereza

Na Eliphace Marwa – MAELEZO WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi anatarajia kufungua mkutano wa siku mbili wa Maofisa waandamizi wa…

Continue Reading....

Dk Shein Afungua Warsha ya Watendaji, Viongozi wa CCM Wilaya na Mikoa

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Dk Shein Afungua Warsha ya Watendaji, Viongozi wa CCM Wilaya na Mikoa

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma, leo kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari