Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,091

Author: jomushi

Washiriki Tusker Project Fame Msimu wa 6 Katika ‘Mtoko’…!

Posted on: October 24, 2013 - jomushi
Washiriki Tusker Project Fame Msimu wa 6 Katika ‘Mtoko’…!

Mmoja wa washiriki kutoka Tanzania Hisia (katikati mwenye tisheti nyeusi) akiwa pamoja na washiriki wenzake wa kiume wakifurahia mtoko baada ya kuwashinda washiriki wa kike.…

Continue Reading....

Serikali Yasaini Mikataba 7 ya Bil. 1.7 ya Uwekezaji Tanzania

Posted on: October 24, 2013 - jomushi
Serikali Yasaini Mikataba 7 ya Bil. 1.7 ya Uwekezaji Tanzania

*Ni yenye thamani ya dola za marekani bilioni 1.7   SERIKALI ya Tanzania imeingia mikataba saba na makampuni sita ya Kichina yenye thamani ya dola…

Continue Reading....

Wanajeshi wa UN Wauwawa Nchini Mali

Posted on: October 24, 2013 - jomushi
Wanajeshi wa UN Wauwawa Nchini Mali

WANAJESHI wawili wa Kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, wameuawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kujitoa mhanga Kaskazini mwa Mali. Raia wa…

Continue Reading....

Uswisi Sasa Kurejesha Mabilioni ya Mafisadi Tanzania

Posted on: October 24, 2013October 24, 2013 - jomushi
Uswisi Sasa Kurejesha Mabilioni ya Mafisadi Tanzania

SAKATA la vigogo kuficha mabilioni ya shilingi katika benki za Uswisi, limechukua sura mpya baada ya Serikali ya nchi hiyo kutunga sheria inayowabana walioweka fedha…

Continue Reading....

Rambirambi Kutoka Ikulu Kifo cha James Kombe

Posted on: October 23, 2013 - jomushi
Rambirambi Kutoka Ikulu Kifo cha James Kombe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi…

Continue Reading....

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Kikwete Atua Dodoma

Posted on: October 23, 2013 - jomushi
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Kikwete Atua Dodoma

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete baada ya kuwasili mjini Dodoma Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Makamu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari