Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 105

Author: jomushi

Wakulima,Wafugaji na Wavuvi Kufanya Shughuli zao Kitaalam

Posted on: January 28, 2017 - jomushi
Wakulima,Wafugaji na Wavuvi  Kufanya Shughuli zao Kitaalam

Asasi ya kusaidia sekta binafsi ya kilimo (PASS) imewataka wakulima na wajasiriamali wote wa kilimo ,uvuvi na wafugaji wafikirie namna ya shughuli zao kitaalam. Hayo…

Continue Reading....

Marufuku Miradi Chini ya Viwango -RC Nchimbi

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Marufuku Miradi Chini ya Viwango -RC Nchimbi

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya Mkalama na kuagiza watendaji kusimamia miradi kwa umakini kwakuwa hataki kusikia…

Continue Reading....

Serikali Kutumbua Wahujumu wa TAZARA

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Serikali Kutumbua Wahujumu wa TAZARA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali haitamvumilia mtumishi yoyote ambaye ataendelea kuisababishia hasara Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia…

Continue Reading....

Wakulima Zaidi ya 60,000 Kunufaika na Mradi wa AMDT

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Wakulima  Zaidi ya 60,000 Kunufaika na Mradi wa AMDT

Na.Vero Ignatus -Arusha. Taasisi ya kuendeleza mifumo ya kimasoko katika kilimo Tanzania (AMDT)imewataka wakulima kubadilisha kilimo kuwa biashara ,waondokane na kilimo cha kawaida na kuwa…

Continue Reading....

Al-Shabab Washambulia Kambi ya Majeshi ya Kenya nchini Somalia

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Al-Shabab Washambulia Kambi ya Majeshi ya Kenya nchini Somalia

Kundi la al-Shabab nchini Somalia limesema wapiganaji wake wameshambulia kambi ya wanajeshi wa Kenya wanaohudumu chini ya kikosi cha Umoja wa Afrika (Amisom)nchini Somalia. Wapiganaji…

Continue Reading....

RC Ataka Malighafi za Kilimo Kuuzwa kwa Gharama Ndogo!.

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
RC Ataka Malighafi za Kilimo Kuuzwa kwa Gharama Ndogo!.

Imeelezwa kuwa teknolojia duni,rasilimali fedha,malighafi kuwa juu, uhaba wa mvua unaotokana na uharibifu wa mazingira ndio changamoto kubwa inayomkabili mkulima wa Tanzania kutofikia malengo ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari