Author: jomushi
Abdulrahman Kinana Awasili Wilayani Rungwe kwa Ziara
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Ndugu Bw. Crispin Meela katika mji wa…
Continue Reading....Mama Salma Kikwete Awataka Lindi Kukazania Elimu
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WAKAZI mkoani Lindi wametakiwa kusimamia elimu ya watoto wao kwa kufuatilia mahudhuria yao shuleni jambo ambalo litawasaidia katika maisha yao…
Continue Reading....Pambika na Samsung Yaendelea na Jitihada za Kuboresha Maisha ya Watanzania
KATIKA kuhakikihsa inaendelea kuwazawadia wateja wa Samsung wanaonunua bidhaa halisi, promosheni ya Pambika na Samsung leo imefanya droo yake ya pili na kuendelea kuwapa furaha…
Continue Reading....Kilimanjaro Stars Kuagwa Kesho
KIKOSI cha Kilimanjaro Stars kinaagwa kesho (Novemba 25 mwaka huu) tayari kwa safari ya Nairobi, Kenya kushiriki michuano ya Kombe la Chalenji inayoanza kutimua vumbi…
Continue Reading....JK Atuma Rambirambi Kifo cha Prof. Gabriel Mwaluko
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Chuo Kikuu cha St Johnes kilichoko Dodoma kufuatia kifo cha Makamu Mkuu wa Chuo hicho…
Continue Reading....