Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania (THBUB), Jaji Mstaafu Amir Manento akizungumza na waandishi wa habari wakati mdahalo wa…
Continue Reading....Author: jomushi
Dk Bilal Ashiriki Mahafali ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata keki ya mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Bagamoyo…
Continue Reading....CCM Yaomboleza Msiba wa Nelson Mandela ‘Porini’
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kusimama njiani akitokea wilayani Makete akielekea wilayani…
Continue Reading....TFF Yamlilia Nelson Mandela, Tanzanite Fiti Kuikabili Basetsana
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kilichotokea Desemba 5 mwaka huu…
Continue Reading....Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Ataka Walevi Kudhibitiwa Rombo
Yohane Gervas, Rombo MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Rombo kuhakikisha anawaagiza viongozi wote wa vijiji vya wilaya ya…
Continue Reading....