Absalom Kibanda Atuma Salamu kwa Watanzania Posted on: March 25, 2013 - jomushi Kibanda atuma salamu kwa Watanzania. Hope all is well. Salamu nyingi saaana toka JBG! I could not resist! Yes I cried! But Absalom is the same person I knew last two months! Amesimama! Mungu ni Mwema!!! Anaomba watanzania wamwombee na amesema anaendelea vizuri kwa sasa… Cheers, Hoyce Temu.