Bi. Harusi Haika Temu (katikati) akila kiapo cha kumpokea mumewe, Bw. Plasduce Mbosa wakati wa ibada ya ndoa yao inayofanyika muda huu katika Kanisa Katoliki la St. Josef lililopo katikati ya jiji la Dar es SalaamMaharusi wakiwa kanisaniMaharusi Plasduce Mbosa na mkewe Haika wakiwa na wasimamizi wao kanisaniWapambe wa Plasduce Mbosa wakiwa kanisaniPicha ya pamoja baada ya ibada na maharusi Plasduce Mbosa na mkewe Haika nje ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam.