Simba yaichakaza Afrika Lyon 4-0 Posted on: October 17, 2011October 17, 2011 - jomushi Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia moja ya bao lao walipokuwa wakicheza na Timu ya African Lyon jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom. Simba ilifanikiwa kuichapa bila huruma African Lyon 4-0.